carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kajua kututenda huyu mtoto[emoji23][emoji23]Ilikuwa saa ngapi ukute katuma saa nane usiku maana yule ni popo[emoji1][emoji1]
Salama bae wake mtu.Za asubuhi wapendwa?
Salamaa wa kishuaZa asubuhi wapendwa?
Mimi sijaona mpendwa.Bora hata wew mpendwa umewahi kuambulia kuona juzi moja mimi sijawahii kuona hata ya mpendwa mmoja.
Poa deZa asubuhi wapendwa?
Salama D ake,Za asubuhi wapendwa?
[emoji23][emoji23]Huyu mume soon asipofanikisha akitakacho ataongeza wa tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu nione kiganja kama kina herufi M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haiwezekani kabisaa juzi nilikuwa hatua kwa hatua cha ajabu nilikosa,jana tena leo haikubaliki ama atume hata unywele nijionee na mimi 😄Kajua kututenda huyu mtoto[emoji23][emoji23]
Mpendwa leo tupambane atuoneshe😄😄😄Mimi sijaona mpendwa.
Niliona avatar jana
Kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akazae haraka haraka
[emoji23][emoji23][emoji23]Haiwezekani kabisaa juzi nilikuwa hatua kwa hatua cha ajabu nilikosa,jana tena leo haikubaliki ama atume hata unywele nijionee na mimi [emoji1]
Ngoja aje tuanze na #Mpendwa leo tupambane atuoneshe[emoji1][emoji1][emoji1]
Wakishua umeenda CCM kilumba au michosho 😅Salamaa wa kishua
Mie mzima de akeAbee...
Umeamkaje babe?