Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Sirudii tena jamaniUmesamehewa ila hamna msamaha wa bure[emoji3][emoji3]
Usirudie tena.
Kwa jinsi unavyopiga mkwara naamini yule ni wewe hakuna tatizo mpendwa.Sio mimi mpendwa.
Mpendwa yule sio bradha na wala hana uhusiano naeYes ila niliipinga kumbe ni wewe kweli mpendwa
Sio mimi, subiria mwisho wa mwezi utaniona.Kwa jinsi unavyopiga mkwara naamini yule ni wewe hakuna tatizo mpendwa.
Zipi hizo jamaniHsbari zako tunazo Anne.
Aisee!!
Waah![emoji134][emoji134]carbamazepine unaona sasa unanipa kazi ya kusafisha hali ya hewa!!!
Ok nafunika kombe kwa heshima yako nilikuwa nataka nikutanie sanaSio mimi, subiria mwisho wa mwezi utaniona.
🙏🙏🙏Ok nafunika kombe kwa heshima yako nilikuwa nataka nikutanie sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nimeona[emoji16][emoji16]
Kapita kimya kimya kugawa likes kaondoka[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee, hatari sana haya mambo.
#NgojaTuoneKamaAnahesabiwaDakika
Wewe usitekwe mtani.Kapita kimya kimya kugawa likes kaondoka[emoji23][emoji23]
#sijuinijitekeshe[emoji848][emoji848]
Siamini aisee😀😀😀Zipi hizo jamani
Jamani [emoji23][emoji23]Siamini aisee[emoji3][emoji3][emoji3]
Nakutania bana Anne, usihofu.Jamani [emoji23][emoji23]
Nimefanya nini
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakutania bana Anne, usihofu.
Natumai ni kwema hapo.