D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ok ili wapate kutandikana makonde vizuri vichwaniWapiganaji wa ridhaa wanavaa helmet, lakini wale wakulipwa hawaruhusiwi
Hivi aliye anzisha uzi huu bado anasavaivu au
Namuamini sana msenegali,Saint anne mama lao
moudgulf baba lao
muda kama huu siku ya kesho tumeshajua mbivu au mbichi
View attachment 1287170
ndio nikataka kesho asiwepo huyo muhuniNamuamini sana msenegali,
Naamini hatotuangusha
Hujawahi niangusha kwenye hili[emoji2][emoji2]Wewe ni me au ke.!
Tuna special treatments kulingana na jinsia,
[emoji419][emoji419]West Ham Win
Yani huyu jamaa hanakitu anaonesha kuwa chadema hamna demokrasia
unataka kupigwa usiku huu na makamanda....
acha nilale nikuachie na balaa lako
ndio nikataka kesho asiwepo huyo muhuni
balaa lake ni kubwa kuliko samaki nyangumi
lakini draw inawatosha mechi ya kesho[emoji23][emoji23]
Atakuwepo Inshaallah[emoji120]
Mimi ni 'me'Wewe ni me au ke.!
Tuna special treatments kulingana na jinsia,
HahahaManchester hakawii kutuudhi mechi inayofuata
Usitutishe[emoji3]Saint anne mama lao
moudgulf baba lao
muda kama huu siku ya kesho tumeshajua mbivu au mbichi
View attachment 1287170
Wewe ni me au ke.!
Tuna special treatments kulingana na jinsia,
Mimi nachukua notes bros.Hujawahi niangusha kwenye hili[emoji2][emoji2]