Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumekuwa na mawaziri wakuu wawili wanawake katika karne hii, ingawa wote walihudumu kwa kipindi kifupi.
Ni dhahiri kuwa wanawake, hususan wanawake vijana, wamekuwa wakakamavu katika siasa za Finland, na katika miaka ya hivi karibuni umma umekuwa ukitegemea 40% au zaidi ya wanawake mawaziri katika serikali ya nchi zao.
 
Hilo lilibadilika mwaka 2015, wakati serikali iliyokuwa na wanaume wengi ya mrengo wa kati -kushoto ya Juha Sipila ilipochukua madaraka- ni 36% ya mawaziri wake walikua ni wanawake.
Pamoja na kuongezeka kwa kampeni ya #Vuguvugu la MimiPia la dunia , yaani #MeToo movement worldwide, huu ulikua ni mwamko mkubwa wa utetezi wa usawa wa jinsia uliochochea mjadala mkubwa wa kijamii juu ya usawa wa jinsia, Bi Siukola anasema.
 
Hehehe nacheka kiuyole uyole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Livapuuu hizi Ni kufuru[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GGMU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Bi Marin anaweza kuchukua mwelekeo upi?
Kuna uwezekano wa kuwepo kwa mabadiliko makubwa ya sera, kwasababu muungano ulikubaliana juu ya mpango ulipochukua madaraka.
Hatahivyo Bi Marin, aliyeshinda uchaguzi wa Waziri Mkuu kwa kura chache, aliweka wazi kuwa mambo hayatakuwa kama yalivyo sasa.
 
Safi sana[emoji122][emoji122][emoji122]
Piga makofi kidogo kwa ajili ya mwamba livapuu[emoji91][emoji91][emoji91]
Pwaa pwaa pwaaa red devils always [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fireeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tuna kazi nyingi za kufanya ili kujenga upya uaminifu" aliwaambia waandishi wa habari.
Alipuuzilia mbali maswali juu ya umri wake, akisema : " Sijawahi kufikiria juu ya umri au jinsia. Ninafikiria sababu iliyonifanya niingie katika siasa na mambo yake ambayo tumeaminiwa kufanya na wapigakura:
 
Social Democrats kilionekana kuwa ni chama kikubwa katika uchaguzi uliofanyika mwezi Aprili, na kwa hivyo kinaweza kumteaua Waziri Mkuu ambaye ataongoza serikali ya muungano
Bwana Rinne alijiuzulu baada ya mpango wa kukata malipo kwa ajili ya mamia ya wafanyakazi wa posta kusababisha maamndamamo makubwa, na chama cha mrengo wa Kati kikasema kimekosa imani nae.
Hatahivyo bado ni kiongozi wa Social Democrats.
 
Wakati huo huo chama cha mrengo wa Kati kilisema kuwa Katri Kulmuni atatajwa kama waziri wa fedha. Kulmuni mwenye umri wa miaka 32- alichukua mamlaka kama kiongozi wake mwezi Septemba.
Viongozi wengine watatu walikuwa ni mawaziri katika serikali ya Bwana Rinne na wanatarajiwa kuendelea katika nyadhfa zao- Kiongozi wa muungano wa mrengo wa kushoto Li Andersson kama waziri wa elimu; Kiongozi wa chama cha kijani Maria Ohisalo kama waziri wa mambo ya ndani; na Anna-Maja Henriksson wa Chama cha Swedish People's Party kama waziri wa sheria.
Finland kwa sasa inashikilia urais wa Muungano wa Ulaya, na wabunge huenda wakaidhinisha mkuu mpya wa serikali katika mkutano wa EU mjini Brussels, tarehe 12 Disemba.
 
Pwaa pwaa pwaaa red devils always [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fireeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Motooooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Akhsante unauelewa moto wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…