Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana king kapotea shuain akili za kanye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwa mfuasi wa kanye tabu tupu,ndio nini hiki
Heheheee na wakati huo huo kadate na domo kwa miaka 12Eti hamisa ako na miaka 21?[emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23]
Heheheee na wakati huo huo kadate na domo kwa miaka 12
[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimesikia hiyo habari hadi nikacheka.
Sijui kwanini watu wanapenda kudanganya umri hasa hawa wanaojiita watu maarufu.
Mimi niko na 37 yangu nafurahi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
TH ukuje ujibu huku una mito mingapi [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Nahisi ni kaugonjwa.
Mimi ninazo 5[emoji125][emoji125][emoji125]
The Happiness uko na mito mingapi??
Ile nguo kweli ya kutovaa chupi kweli mwili mkubwa akili kisoda nimeiona video.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wana kaugonjwa kabaya
Umeiona papa ya uwoya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fashen zingine zitupite tu