myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salama kabisa 'mpotevu', hujambo? karibu tena kwa furaha
Shemeji kwani mmefunga shule? Dadangu hajambo? Mna watoto wangapi sasa?
Salama kabisa 'mpotevu', hujambo? karibu tena kwa furaha
Shemeji kwani mmefunga shule? Dadangu hajambo? Mna watoto wangapi sasa?
Hufai shemeji na umenifanya nichukie Wapare wote popote walipo hapa duniani [emoji16]
Na sisi tunafurahi tukikusikia ndani ya uzi.....Asante sana. Nafurahia kuona ndugu zangu mkiwa wenyenguvu na furaha kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app