Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Aisee tafiti nyingine ni uwongo.Je wajua
Mwanaume akipigwa teke kwenye Korodani maumivu anayopata mtu hufikia 9,000 del ambayo ni sawa na kuzaa watoto 150 na kuvunjwa mifupa 3,200 kwa wakati mmoja
Heheh! Pole sanaSi ya usingizi jamani
Nimeamka kwa kukurupuka balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Happy weekend
Hii SawaBinadamu ana uwezo wa kuvumilia maumivu yanayofikia 49 del (Units). Mwanamke anapojifungua hupata maumivu yanayofikia 57 del (Units) ambayo ni sawa na kuvunjwa mifupa 20 kwa wakati mmoja.
Hahahahahaa kwan unazo?Aisee tafiti nyingine ni uwongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiiBado nawaza tu sijui alikurupushwa na nini?
ni kweli hii, ndio maana utaskia mwanamke akitaka kuzaa tena,Aisee tafiti nyingine ni uwongo.
Mwanaume anazaa mpendwa Soma vizuri kingine kasehemu kale ndio kaume hivyo.Hahahahahaa kwan unazo?
Maumivu ya pale naona ni sawa na ya kupigwa kifuani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo king upo fireeeeππππ eti tafsida (Kupigwa kifuani)
Wapo mbona wanaomba kupigwa πππni kweli hii, ndio maana utaskia mwanamke akitaka kuzaa tena,
lakini kamwe hutaskia mwanaume akiomba kupigwa korodani
inaonyesha hata sio maumivu makaliHii Sawa
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiii
Kifua hiki hiki ama kamaanisha kifua kingine πππππ eti tafsida (Kupigwa kifuani)
wanaume kweli au akina fulaniWapo mbona wanaomba kupigwa πππ