Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapa safi tu ndugu, sijui huko?kwema bro, vipi weekend maeneo hayo
😃😃 usitake kutuambia unamiliki kanda ya ziwaBana bana banaaaa kama cha gigy money au tanasha wa domo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😃😃 usitake kutuambia unamiliki kanda ya ziwa
😀😀😀anaume waoga kupigwa pale ukiwa muangalia mpira utajua hilo,wapo fasta kujiziba pale kati
huku leo ni jumamosi moja tulivu kabisa, hali ya hewa inaruhusu kabisa kwenda kukaa kwenye viti virefuHapa safi tu ndugu, sijui huko?
Arsenal 2002/2003 – pointi 8Arsenal walikwenda kupoteza mechi dhidi ya Leeds United huku zikiwa mechi mbili zimebaki, matokeo ambayo yaliifanya Man United kubeba ubingwa huku timu hiyo ikijiokoa kwenye kushuka daraja.