Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utasubiria sana.
Kumbe una matarumbeta kiasi hiki Anne.Mimi nilikua naangalia kabla mwaka haujaisha tuyajenge sema sasa zitaweza tena[emoji3][emoji3]
Kwenye ushindi wa liva Nina matarumbeta ya kutosha[emoji23][emoji23]
Hapo kwa kweli siwezi kuwa mnafiki..na niliangalia mechi kwa Mara ya kwanza.
Huku kwingine nipo Kama bubu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaah
Juzi tulifanya opportunity cost.
Kocha aliona mbali.
Zile mechi zilipangwa Ili tufungwe maana
Haiewezekani ratiba iwe mechi siku 2 mfululizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walikosea si mngegoma kucheza??Acheni kujitetea bana.

Na mngeshinda ile mliyofungwa "Al khamsa" mngeongea sana, mngekuja na maneno kuwa hadi kikosi cha pili kinatembeza kichapo tuu😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…