Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Amani ipo?So stop hiding it away
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]timu nzima majanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipa kawazengua.
Imejaa teleAmani ipo?
Yeah, attackers pia japo kipa wa Watford kaokoa sana timu yao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]timu nzima majanga
Saa0005Fresh, saa ngapi huko? π π
Tuwache Bwana weeKama walikosea si mngegoma kucheza??Acheni kujitetea bana.
Na mngeshinda ile mliyofungwa "Al khamsa" mngeongea sana, mngekuja na maneno kuwa hadi kikosi cha pili kinatembeza kichapo tuuπππ