Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasimsingjzie kila.
Mdau pale juu amesema hili Ni genge la wahuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Anne kalaleeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Penda kuwa mkarimu kwa wengine
Kumbuka si watu wote wanaweza kukuona kuwa wewe ni mwema hata utende mambo yaliyo mema maisha yako yote, hivyo jitahidi kuwa mkarimu kwa watu wote bila kujali endapo wanatambua wema wako au hawatambui. Hii husaidia kutojali na kuumia sana pale utakapoona watu hawajachukulia mchango wako kwa uzito ulioutegemea hivyo utaendelea kubaki na furaha yako muda wote.
 
mahusiano hususani zile kauli mbaya ambazo hazifai ndani ya mahusiano.

Tukiachana mimi na wewe lazima utajuta tuu!
Kauli hii maana yake nini? Maana hadi mtu anafikia kutoa kauli hiyo basi jua kuna jambo na kwa kifupi kauli hii humaanisha kwamba mtu huyo au mtoaji wa kauli hii kwamba anatamani kutoka kwenye mahusiano hayo lakini anashindwa au anakosa sehemu ya kaunzia ili kutoka na mtu wa namna hii mara anapopata tu nafasi basi lazima atatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…