Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiseme kwanguvu!!!

Namwekea hadi pilipili, wewe subiria uone.
Weka chumvi bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mna akili Sana.
Tena chumvi huimarisha Koo[emoji3526][emoji122][emoji122]

Pilipili gani itanishinda?
Pilipili mbuzi nazitafuna nzimanzima,yaani hiyo yenu itaniongezea spidi ya kupepeta mdomo[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There will be light at the end of the tunnel.
Hii ndio misemo shwaaini nisiyo ipenda, hiyo "laiti" nina shida nayo katikati ya "tunnel" maana ni giza totoro, naambiwa huyo "laiti" nitamuona mwisho wa "tanuru",sasa kama nimefika Uswahilini salama huyo laiti wa nini?!!
Msaada utolewe/upatikane kwa mfumo wa nguvu kazi tena kwa wakati sio kwa maombi (matambiko na sala pekee) ya asili.
Kuomba na kumuachia Mungu atende huo ni uvivu na ni chanzo cha umaskini.

Guudimoningi ankoo zangu wooote humu ndani [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nasema hivi, Noeli ipo nyumbani kwangu, karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…