moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Genge la wahuni manutd.
Sio maneno yangu,Ni ya jamaa flani huko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kusubiri niwalk alone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natembea kifua mbereee"kwa sauti ya mh jiwe"View attachment 1300933
Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo, salama?Hii ndio misemo shwaaini nisiyo ipenda, hiyo "laiti" nina shida nayo katikati ya "tunnel" maana ni giza totoro, naambiwa huyo "laiti" nitamuona mwisho wa "tanuru",sasa kama nimefika Uswahilini salama huyo laiti wa nini?!!
Msaada utolewe/upatikane kwa mfumo wa nguvu kazi tena kwa wakati sio kwa maombi (matambiko na sala pekee) ya asili.
Kuomba na kumuachia Mungu atende huo ni uvivu na ni chanzo cha umaskini.
Guudimoningi ankoo zangu wooote humu ndani [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nasema hivi, Noeli ipo nyumbani kwangu, karibuni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mna akili Sana.
Tena chumvi huimarisha Koo[emoji3526][emoji122][emoji122]
Pilipili gani itanishinda?
Pilipili mbuzi nazitafuna nzimanzima,yaani hiyo yenu itaniongezea spidi ya kupepeta mdomo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheheh..walisema ndege mkubwa flamingo,kumbe Hana lolote jogoo amempanda akataga yai aka Nunge zero sifuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Heheheheheh..walisema ndege mkubwa flamingo,kumbe Hana lolote jogoo amempanda akataga yai aka Nunge zero sifuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji137][emoji137][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]