moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
tafsiri ya uzalendo kwa mwanasiasa ni kumsujudia, kumkubalia, kumfuata kwa kila jambo analolitenda au kulipanga
nimemuona jogoo wa liverpool
nimemuona jogoo wa liverpool
macho yangu yana makengeza..hiyo picha inazungumzia kitu gani?🚶♂️🚶♂️🚶♂️
macho yangu yana makengeza..hiyo picha inazungumzia kitu gani?[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ankoo, salama?
Laiti akitokea katikati ya tanuru, hapo ndio mwisho wa tanuru[emoji3][emoji3]