moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
mimi ni kaka yako
Asubutuu 😄😄mimi ni kaka yako
Nivunje?Vunja ukimya
Kweli?Au tunadanganyana😀
[emoji28][emoji28] kwann nidanganye? Bado napambanaKweli?Au tunadanganyana[emoji3]
Mzima za kwako.Nivunje?
Nakusalimia mpendwa, mzima?
Ndio nimekumbuka sikuitikia wito wako jana🙂...
Bi kidude aliolewaeti jamani ni kweli?
nimeona twitter
Spika mstaafu Anna Makinda alizaliwa 1949 mpaka sasa ana miaka 70 lakini hajawahi kuolewa.
sina uhakika kama aliolewaBi kidude aliolewa
Ndoa ni neema kwa Allah naamini umenielewa sio kila mmoja anabarikiwa.Umri na ndoa ni maji na mafuta.sina uhakika kama aliolewa
Hapana, itakua nililike mara 2 bila kujua...Mzima za kwako.
Eti umekumbuka na uka like baadae ukafuta ajabu kwa kweli. Pole kwa kusahau mpendwa