D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ukiachana na sababu hio lakini na maamuzi ya mwanadamu pia yanahusika kwa asilimia kubwa sana.Ndoa ni neema kwa Allah naamini umenielewa sio kila mmoja anabarikiwa.Umri na ndoa ni maji na mafuta.
Aisee OKHapana, itakua nililike mara 2 bila kujua...
Mimi ni mzima kabisa.
Naamini Mungu akipanga jambo/kitu kiwe kinawezekana hata Kama kunapingamizi.ukiachana na sababu hio lakini na maamuzi ya mwanadamu pia yanahusika kwa asilimia kubwa sana.
ukiachana na ishu za ugonjwa
Umeambiwa kati ya hivyo vitatu😁😁😁Pesa bhana, hivyo vingine haviniumizi [emoji1][emoji1]View attachment 1301836
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugali na maharageNiamini dada,
Unatunyima nn huko makao mapya
Tukaribishane banaUgali na maharage
Ukaribie mpendwaTukaribishane bana
Ahsante.Ukaribie mpendwa
Za nini mpendwa 😄😄Ahsante.
Baraka za mwisho wa mwaka basi mpendwa?😀😀
Hebu tubariki bana😀😀Za nini mpendwa 😄😄
Huyo aliyeandika hakufikiria kwa kina [emoji3][emoji3].Umeambiwa kati ya hivyo vitatu[emoji16][emoji16][emoji16]
Haya, jibu swali sasa.
Mimi nilishaanza ukaondoka mwenyewe, hivyo leo uanze wewe😉Anza wewe mpendwa
#Hatasikuhukosei
Hutaki usiku mwema mpendwaMimi nilishaanza ukaondoka mwenyewe, hivyo leo uanze wewe😉
Haya, sawa...Hutaki usiku mwema mpendwa
NIDA yapata miezi 5 sijapata kitambulisho changu walisema tutakutumia msg ziiiiiii mpaka leo namiliki namba tuHaya, jibu swali sasa.
Itakua yeye hela hazimsumbui[emoji3][emoji3]