moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
eti jamani ni kweli?
nimeona twitter
Spika mstaafu Anna Makinda alizaliwa 1949 mpaka sasa ana miaka 70 lakini hajawahi kuolewa.
Pesa bhana, hivyo vingine haviniumizi [emoji1][emoji1]View attachment 1301836
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, sema bora wewe una namba tayari na sehemu nyingi ukiwa na namba unapata huduma.NIDA yapata miezi 5 sijapata kitambulisho changu walisema tutakutumia msg ziiiiiii mpaka leo namiliki namba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo lenu mumezaliwa mwaka 2001...Yeah, sema bora wewe una namba tayari na sehemu nyingi ukiwa na namba unapata huduma.
hahahahahahaha,tatizo lenu mumezaliwa mwaka 2001...
sisi tuliozaliwa mwaka 1940 tunavyo vitambulisho tokea zama za kikwete
hivi ulimuona eusebio akicheza mpira
hivi unafahamu ya kwamba mimi ndiye mshonaji mkuu wa suti za mwalimu nyenyereeeee alipokuwa handisome boyiii
nimeweka tangawizi, mdalasini, hiliki na majani ndani yake...hahahahahahaha,
Hii ni chai ya visiwani mkuu😀