Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
kumbe na wewe ulikuwepo, ungesema mzee tuonaneNyama choma festival ilpokuwa
Jamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
thanks young sister for this, nikiri sikuwahi kuuona huu uzi ndo nauona hapa leo, nimefarijika mno, nadhani nlikua nimenyang'anywa nywila enzi hizoUzi Bora wa kuondolea stress 2018 huu hapa
Kama kawaida kila mwaka jukwaa la photos huwa linaibuka na ushindi mnono kwa nyuzi bora kabisa za kuondolea stress. Tukiwa tumebakiza miezi michache kufunga mwaka. Jukwaa la photos limeendelea kutuburudisha kwa uzi murua wa JF V.A.R - JamiiForums Uzi mwingine toka hoja na habari mchanganyiko...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wezi wa nywila bana wamezidi aiseeeethanks young sister for this, nikiri sikuwahi kuuona huu uzi ndo nauona hapa leo, nimefarijika mno, nadhani nlikua nimenyang'anywa nywila enzi hizo
I appreciate much😍😍
ha ha wezi na majukumu nayo pia yalichangia ndo maana hata uzi ulipotea kwa miezi kadhaa hapo nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wezi wa nywila bana wamezidi aiseeee
Sijaona tatizo la pogba. Kisa ni black mane nae black,wilj black,origi blackJamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
HB wetu Alexander shughuli anayopView attachment 1305209
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha wezi na majukumu nayo pia yalichangia ndo maana hata uzi ulipotea kwa miezi kadhaa hapo nyuma
Matokeo ya ManCity veepSijaona tatizo la pogba. Kisa ni black mane nae black,wilj black,origi black
Shida sio ublack..Sijaona tatizo la pogba. Kisa ni black mane nae black,wilj black,origi black
ha ha ila kwa mwaka huu upinzani ni mkubwa sana jukwaa la picha limekua hot sana kila uzi ni moto wa kuotea mbaliBonge la uzi,bonge la ubunifu. Burudani safi kabisa
2-1Halftime wolves 0 man city 1 from sterling