Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlugaluga, kheri ndugu yangu? Kwenye "Roll Call" ya kusubiria mwaka mpya weka tick aisee, nipo! 🙂🙂
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwema ndugu yangu? Ni muda mrefu hatuja kutana humu ila Mungu ni mwema tupo vizuri.
Nataka nijitahidi nikeshe kuikwepa "last seen a year ago"
Naomba tuungane kukesha maana hata kivuruge wa Kizaramo atakuwepo kwenye mkesha. Ukuje na vigauni gauni, vimaua ua, viwaini waini ezi yuzyo...
A lovely day to you brother [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hii style ndio inaitwa kudandia treni kwa mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa pwani awe hajamuona Nyerere madarakani? Kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 jamaa alikomaa na hiyo tarehe bila kujazia jazia nyama hivyo wadau tukaona tumpachike tu matukio hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…