The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Dunia ya wababe hii. Majenerali hawa wameuliwa tu bila sababu za msingi...
Kweli kabisa dunia hii ya sasa inafaa watu makatili, wanaojali maslahi yao, so sad na Jamii nyingi ndio inapoendea hukoDunia ya wababe hii. Majenerali hawa wameuliwa tu bila sababu za msingi...
Acha kunichoresha basi[emoji23][emoji23][emoji23]sasa hivi au baadae kidogo
Nakukumbusha bro. January yenyewe ndiyo hii [emoji870][emoji870][emoji870][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha Baba wa rafiki yangu, akikasirishwa huwa anasema "Fisi maji"[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen. Na mwaka huu tuvuke salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah,