Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hamna mkuu nilikuwa naitumia ila we ukajua moyo wangu upo wapi umenipiga kisu sehemu mbaya sana.Hivi ile theorem yako ya kuchanganya changanya bado unaitumia...
Ziba maskio mkuuNnasikia njaa kali sana
Kweli raha mkuu agiza fursana kwa kuiona raha...Hapo sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo sio kupost hata kulike watu hawalikeMbona watu hawapost????
Daaaah, hilo nalo ni tatizo kubwa sana Mkuu.Tatizo sio kupost hata kulike watu hawalike
Nipo Sawa kimtindo napambanaYes brother. Umeamkaje mkuu?
sammyluv katangaza ndoa toka juzi baada ya kuniona na carbamazepine viwanja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu we si sammyluv ndo wa kwako na pete ulimvisha
Ila usiwaze mr malike niko hakuna kitakachoharibikaDaaaah, hilo nalo ni tatizo kubwa sana Mkuu.
We lazimisha tu kupendwa.Bint mrembo kama zepine si vyema akapata tabu ngoja nimpe upendo wote...
Sawasawa MkuuIla usiwaze mr malike niko hakuna kitakachoharibika