The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
πππππha ha inauma sana kuitwa bro na mrembo kama wewe
#ila_acha_mabro_wafaidi
SureWakuu humu mnabadilisha sana majina na utambulisho wenu, mjitahidi basi pindi mnapofanya mabadiliko mtujulishe na sisi humu ndani
Maana mpaka tumekuwa waoga sana
CW
Poa kabisa,mzima?Mambo Binti Mpole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maneno ya mkosaji halafu sijaongelea hatitriki mieHat trick league ya wakulima hata wewe Binti Mpole ukipelekwa kule unaweza pata Hat-trick yako
We league mpaka lukaku Bolingoli anakimbiza ujue league hakuna huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daahha ha imekua vizuri nafkiri sitaitwa bro sana humu ndan atleast na mimi niitwe Bae
Basi nikutakie kazi njema.[emoji16][emoji16]Hebu acha hizo hbr.
Huku nimekuja kikazi zaidi[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]πππNaona umekuja na mbinu mpya..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu humu mnabadilisha sana majina na utambulisho wenu, mjitahidi basi pindi mnapofanya mabadiliko mtujulishe na sisi humu ndani
Maana mpaka tumekuwa waoga sana
CW
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maneno ya mkosaji halafu sijaongelea hatitriki mie
#unaifatiliaserieAHadiraha
Poa kabisa,mzima?
ha ha naenda taratibu kwa machale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unajiwahia
#wawezakutaniMe
#kuwamakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehe lukaku ni fire mfatilie timu ya taifa na timu aliyotoka kabla ya kwenda man uHahahahaha
Kweli huyu Lukaku ambaye hata first touch kwake ni tatizo Leo hii ana wastani safi wa magoli
#serieAnafatiliasikumojamoja
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah