Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nani tena mkuu maana kila day mtu anakuja kunifananisha na mtu humu.Halafu wewe jamaa kama nakufananisha
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Aisee huyu Bint siachani Nae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli raha mkuu agiza fursana kwa kuiona raha...
cocochanel Unaanza kutudanganya sasa na bado hatujalewa ndokwanza asubuhi
Ki shingo upandeHakuna kabisa acha nimpe maraha carbamazepine
cocochanel Unaanza kutudanganya sasa na bado hatujalewa ndokwanza asubuhi
Mungu mkubwa,utakuwa imara muda si mrefuNipo Sawa kimtindo napambana
Mwongo wa kuku mbanaweSijakuelewa unaongelea kipi haswaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwaminifu huoa, mwenye hekima hubaki kapera.
Tupe somo mamaaMwana huua mzee, mzee haui mwana.