Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Hivi akina mama wa afrika wana nini? Katika meme zote ninazosoma kuhusu Afrikan mom kama zipo ambazo hazimuhusu mama yangu basi ni mbili kati ya mia
Bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1316134
Huyu zeruzeru ana dharau sana huyu
Mama angu na mgomba wenyewe atakata πππ
Bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Amekutibua nini? Siyo kawaida yako bro...
Nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakishua hizi mambo umezijulia wapi??Nani anialike.?[emoji39][emoji1786][emoji1786]View attachment 1316111
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nasema eeiiimeeennn[emoji125][emoji125][emoji125]
Nikitaka kuongeza?
Hizo ndio mambo zangu mbona.ππ.Wakishua hizi mambo umezijulia wapi??
All the good stuff happens outside our comfort zone.
SafiiNani anialike.?[emoji39][emoji1786][emoji1786]View attachment 1316111
Sent using Jamii Forums mobile app