myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😂😂😂
Homo Sapiens kiumbe wa ajabu sana. Halafu kasayari kenyewe haka haka kamoja hakuna mahali pa kukimbilia. Na ukiangalia vizuri hata kinachogombaniwa hukioni. Shwaiini kabisa !!!Sekeseke likikolea hakuna mwenye nafuu, ndani ya dakika tu Dunia inageuzwa majivuView attachment 1316523
Sent using Jamii Forums mobile app