Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Kwahiyo humu ukiandika chochote tu unakula "like" sio ?
KalaleKwahiyo humu ukiandika chochote tu unakula "like" sio ?
Nimekaribia ndio maana huwa najiuliza kwanini warembo wengi huwa wana likes nyingi sanaaa kuliko kile wanachokiandika,yaani unakuta mrembo ana jumbe 2130 na ana likes 31205.Karibu
Kalale
Nimekaribia ndio maana huwa najiuliza kwanini warembo wengi huwa wana likes nyingi sanaaa kuliko kile wanachokiandika,yaani unakuta mrembo ana jumbe 2130 na ana likes 31205.
Bakiaga huku
Huku sipawezi,huwa napenda kuja na kuangalia kama hivi kisha narudi niliko toka.
Wamepigwa kweli..Barca wapigwe
[emoji23]ngoja nikalinde mm niote mvuaHuku nilipo ndio kwanza naota jua.
Hasa nyinyi wa kike ndio huwa siwasahau kabisa.Usitusahau
Ukiniita lindoni nakuja usiponiita siji leo.[emoji23]ngoja nikalinde mm niote mvua
Nakuita kwa herufi kubwaUkiniita lindoni nakuja usiponiita siji leo.
Nikuletee Karabai? Ninazo tele hapa za shughuli za uvuvi! 😀#KizaKinene