Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Huku kwema bro. Natumaini hata kwako ni kwema. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Izo dawa za kichina alipaka kwenye ipsi angepaka na apo mbele kibumbu kiwe kikubwa
naskia kuna Pipi za kongoIzo dawa za kichina alipaka kwenye ipsi angepaka na apo mbele kibumbu kiwe kikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mishindo minne kila mshindo 5,000 sasa yeye badala ya kulipa zote 20,000 akalipa za mishindo mitatu tu (15,000). Mbona asingepiga mishindo mitatu kulingana na hela alizokuwa nazo? Anastahili alichokipata [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa
Wanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao. Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu...www.jamiiforums.com
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Daah aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepata dharula Dk kadhaa nitakutafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiko kikombe cha Mbuzi
Upo bro...ila ni wa mama tu. Nyingine hizi mbwembwe tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Upendo wa Kweli Upo?
Inasemekana kuna waliotumia hizo wakatanuka mikono badala ya ipsi ndio maana unakuta wengine maipsi mapanaaa ila tako flat na wengine tako limerudi nyumaa uaweza eka tofali lisianguke lakini ipsi flaatnaskia kuna Pipi za kongo
Mabaharia wameshafanya yao [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hawataamini mpaka wahakikishe [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukikutana na king'ang'anizi unamtumisha nauli, analipia chumba halafu unamuacha aone mwenyeweHawataamini mpaka wahakikishe [emoji16][emoji16][emoji16]