Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Ina maana huyu ni mfilisti?View attachment 1318750
bwana harusi akijimwambafy na nguo za mtoko.... bibi harusi yupo chooni anajipimisha nguo zake..
ha ha ha huyu ni mkwepu jrView attachment 1318750
bwana harusi akijimwambafy na nguo za mtoko.... bibi harusi yupo chooni anajipimisha nguo zake..
macho yako yana makengeza?
Hehehpuuzia maneno hayo huyu ni mkwepu jr hapo anatafuta kitufe cha like hakioni
ha ha ha urojo wa leo wamekuwekea nini hadi unajiamini kiasi hichomacho yako yana makengeza?
kuna sehemu yoyote nilioandika neno mfilisti?
kwani namuogopa huyo bwege hata niogope kumuandika
nimekunywa sodddddaaaaaha ha ha urojo wa leo wamekuwekea nini hadi unajiamini kiasi hicho
itakua ni Stoney Tangawizi ndo maana umeshalewanimekunywa sodddddaaaaa