Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
ni nani aliyekwambia nalala peke yangu?bro hapa wanaoteseka ni hawa wanaolala peke yao kama nyoka, akina Daemusin
bro hapa wanaoteseka ni hawa wanaolala peke yao kama nyoka, akina Daemusin
ni nani aliyekwambia nalala peke yangu?
nalala na mfuko wa cd za wakorea kama huna habari
halafu jana nimeota paskali mayala amepewa nyadhifa serikalini( hii comment nawaomba muihifadhi)
ndoto nyevu hiini nani aliyekwambia nalala peke yangu?
nalala na mfuko wa cd za wakorea kama huna habari
halafu jana nimeota paskali mayala amepewa nyadhifa serikalini( hii comment nawaomba muihifadhi)
"Trump angeua Jenerali wangu ningemuonyesha cha mtema kuni" --KidukuView attachment 1318823
Sent using Jamii Forums mobile app