Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa jinsia yako siwezi kusuka kwa kweli.Nitamleta...Na mimi mwenyewe nataka kusuka rasta. Nimechoka kunyoa kipara mpendwa [emoji16]
Kwa nini mpendwa?Kwa jinsia yako siwezi kusuka kwa kweli.
Moja ya kazi ngumu sitaweza kufanya kwenye maisha yangu.Kwa nini mpendwa?
Rasta tu za kawaida mpendwa japo nataka kubwa kubwa...
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Moja ya kazi ngumu sitaweza kufanya kwenye maisha yangu.
Kumbe hovyo tu [emoji36][emoji36][emoji36]Matokeo ya Livapuu vipi? Au mechi bado? moudgulf na Saint anne; nini kinaendelea huko?