Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh!! Anamuombea mabayaIMEFICHUKA kwamba kocha Max Allegri amegoma kupokea ofa za kwenda kufanya kazi kwenye klabu nyingi akisubiria kiti anachokalia Ole Gunnar Solskjaer huko Manchester United.
Umeamka mapema....hujamboArsenal waliripotiwa kumfuata Allegri ili awe kocha wao, lakini Mtaliano huyo kwa sasa matumaini yake ni kwenda kufanya kazi Man United, kwa mujibu wa Daily Mail.
Usingizi umekata mapema balaa. Sijambo jirani. Za huko?Umeamka mapema....hujambo
salama kabisaUsingizi umekata mapema balaa. Sijambo jirani. Za huko?
Alivyo banana kama ni mwandishi wa HabariHuyo mama kushoto ni Makamu wa Rais wa JMT[emoji16][emoji16]
View attachment 1320028
Sent using Jamii Forums mobile app