moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
“ Kuna Wakati Tulikua na Etoo na Akawa anaongea na Watu wa Barcelona Wanamtaka Kelvin John ” - Ameyasema hayo diamondplatnumz katika Kipindi Cha Sports Arena
Chizi kalogwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eti ni kweli hizi tetesi? Cole Williams Davet Bradha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikutegemea kama habari hizi uwa zipo pia, hatuna taarifa hizi