Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Hahah, mbona ndio third quarter tu sasa hivi? Pole poti, hapa halali mtu mpaka ashuhudie LSU anabeba ndoo yake! 😀😀Nimeamua kulala tu Poti. Clemson wameanza vizuri sasa huyu Burrow kacharuka duh! Hovyo kabisa. Utanipa matokeo kesho Poti...Sina furaha kabisa [emoji42][emoji42][emoji42]
Vizuri, ahsante kwa kushirikiUpo lakini kila mmoja kati ya hao watu wawe wanajua nini maana ya urafiki