Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,741 Jones Stones ameshitishwa na taarifa za kutakiwa na kocha wa Arsenal, Mikel Arteta katika dirisha la usajili.
Jones Stones ameshitishwa na taarifa za kutakiwa na kocha wa Arsenal, Mikel Arteta katika dirisha la usajili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,742 Arteta amemuweka beki huyo wa kati katika orodha ya wachezaji anaotaka kabla dirisha la usajili kufungwa mwezi huu.
Arteta amemuweka beki huyo wa kati katika orodha ya wachezaji anaotaka kabla dirisha la usajili kufungwa mwezi huu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,743 Arsenal inataka kumchukua kwa mkopo beki huyo wa Manchester City ambaye amekosa namba katika kikosi cha kwanza.
Arsenal inataka kumchukua kwa mkopo beki huyo wa Manchester City ambaye amekosa namba katika kikosi cha kwanza.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,744 Stones anataka kucheza kikosi cha kwanza ili kupata nafasi ya kuitumikia England katika fainali za Kombe la UIaya mwaka huu.
Stones anataka kucheza kikosi cha kwanza ili kupata nafasi ya kuitumikia England katika fainali za Kombe la UIaya mwaka huu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,745 Wawakilishi wa mchezaji huyo wako mbioni kuzungumza na Arsenal kuhusu ombi la kumtaka Stones ambaye aliwahi kufundishwa na Artata Man City.
Wawakilishi wa mchezaji huyo wako mbioni kuzungumza na Arsenal kuhusu ombi la kumtaka Stones ambaye aliwahi kufundishwa na Artata Man City.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,746 Stones amejiweka katika mazingira magumu Man City kwani hadi sasa hana ofa mkononi ya kumuongeza mkataba.
Stones amejiweka katika mazingira magumu Man City kwani hadi sasa hana ofa mkononi ya kumuongeza mkataba.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,747 Kocha Pep Guardiola hamkubali Stones lakini kocha wa England Gareth Southgate anataka mchezaji huyo awe anacheza kila wiki Man City.
Kocha Pep Guardiola hamkubali Stones lakini kocha wa England Gareth Southgate anataka mchezaji huyo awe anacheza kila wiki Man City.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,748 Stones (25) alikuwa beki tegemeo Man City na aliisaidia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England mara mbili na alicheza kwa kiwango bora katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018.
Stones (25) alikuwa beki tegemeo Man City na aliisaidia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England mara mbili na alicheza kwa kiwango bora katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018.
Mfilisti JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 3,729 Reaction score 19,466 Jan 14, 2020 #1,090,749 Saint anne said: Kazi ipo. Simba wamemsimanga Hadi amerudi[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... huyu inaonyesha karudi kwa shinikizo, hizi timu zetu mbili pendwa bora ziendeshwe tu na wananchi. Hata Yusuph Manji ilikua hivi hivi mara ajiuzuru mara arudi
Saint anne said: Kazi ipo. Simba wamemsimanga Hadi amerudi[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... huyu inaonyesha karudi kwa shinikizo, hizi timu zetu mbili pendwa bora ziendeshwe tu na wananchi. Hata Yusuph Manji ilikua hivi hivi mara ajiuzuru mara arudi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,750
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,751
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,752
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 14, 2020 #1,090,753
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 14, 2020 #1,090,754 Sitaki nataka Sent using Jamii Forums mobile app
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 14, 2020 #1,090,755 Sent using Jamii Forums mobile app
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 14, 2020 #1,090,756 Sent using Jamii Forums mobile app
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 14, 2020 #1,090,757 Sent using Jamii Forums mobile app
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 14, 2020 #1,090,758 Sent using Jamii Forums mobile app
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 14, 2020 #1,090,759 Sent using Jamii Forums mobile app
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 14, 2020 #1,090,760 Sent using Jamii Forums mobile app