Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
huku kwema, siku imeshika kasi (in #myoyambendi voice)Salama kabisa,pande hizo shwari?
Duh! wanataka kuua ArsenalAtletico Madrid imeamua mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 28 kuwa kipaumbele chao ikiwa watashindwa kumsajili Edinson Cavani, 32, mshambuliaji wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Uruguay.(Express)
Nani atamuuzia...angenunua Fulham.........Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, 62, amesema ana nia ya kuinunua Arsenal mwaka 2021.(Evening Standard)
Nawapost sababu ni warembo si mapenzi. Ila siku zinavyozidi kwenda nawapenda zaidi kwa sababu za ki mtazamo na maono kwa Taifa lao.Coco bana rwanda unaipenda tangu zamani,ukipost picha za mabinti huwa unapost warwanda tupu