Hii dunia ndivyo inataka tuishi hivyo, sasa basi na sisi tutaishi hivyohivyo inavyotutaka tuishi, Halafu kuna kitu mimi nimegundua laiti kama mapenzi yasingekuwepo duniani nahisi tungeishi kwa furaha sana natungeifurahia dunia Vitu vinavyoiangamiza dunia na kupelekea mauaji ni MAPENZI na PESA...