Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Wanaoneshana namba ya NIDA hawaWaaah[emoji134][emoji134]View attachment 1326039
All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlitaka niseme neno, ila nimekumbuka nimeoa
😃😃😃 kweli bro hawakawii kuja kuona kaka zao tunavyofaidiNmeshakuona bro
#punguzavolume
Nmeona kuna watu baadhi wa mtandao wa voda wameanza kufungiwa, kumbe ni siriaz hii[emoji23][emoji23][emoji23] aah tunajipa raha wenyewe baada ya kupigika na Nida
[emoji23][emoji23]nlitaka niseme neno, ila nimekumbuka nimeoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo huko zamaaani kwani hujanionaga tu😃😃😃 kweli bro hawakawii kuja kuona kaka zao tunavyofaidi
Hatari na nusu. Watu wanahaha balaaNmeona kuna watu baadhi wa mtandao wa voda wameanza kufungiwa, kumbe ni siriaz hii
waifu material ana majukumu mengi ya kifamilia, pia sipendi akeshe sana kuna wapaka mkorogo humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeeeeeeeee ayanna kama mkwepu jr. Mwambie awe anakesha humu mara moja moja tuamini sio ya mkeka
#Anajishtukia[emoji23][emoji23]
#kwanimkeokaondokanamdomo
All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji120][emoji120]Weekend iko njema pia,tunamshukuru Muumba
Heh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeeeeeeeee ayanna kama mkwepu jr. Mwambie awe anakesha humu mara moja moja tuamini sio ya mkeka
Humu hatuna wapaka mkrogo bana. Sehemu safi kabisa hiiwaifu material ana majukumu mengi ya kifamilia, pia sipendi akeshe sana kuna wapaka mkorogo humu.
#sikoTayariKuchapiwa
#kuchapiwaKunaepukika
Yaani nasubiri tar 20 wafunge line yangu[emoji23][emoji23][emoji23] aah tunajipa raha wenyewe baada ya kupigika na Nida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heh [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] haka kamshangao kamenikumbusha mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijeponza wenzio wakati ushasajili zamaaaniiiYaani nasubiri tar 20 wafunge line yangu
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Carba sio wa kumsikiliza kabsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijeponza wenzio wakati ushasajili zamaaaniii