Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu unakuta anatuchora tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] @Carba wewe si mtoto wa juzi kabisa tunakukataza usile kamasi
#hukuNiVibeLaWeekendTu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hashtag imeuaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakishua usinibadilishie gia,wa kibalozi wewe kama wema tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe dady ni mwanadiplomasia?
Hongera bhana wakishua
All the good stuff happens outside our comfort zone.
😂😂😂 bro acha tu siku si nyingi ntanyang'anywa nywilaAisee bro [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona nshatoa ushuhuda kitambo sana enzi hizo nlivyokula kimasihara kisa ni nimetupia Raizoni zangu na shati langu la mchelemchele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KWA MOYO WANGU WA DHATI NA AHIDI KUWAPENDA MEMBER WOTE HUMU NDANI MPAKA PALE NIDA ITAPO TUTENGANISHA
Sms hio tumia kuaga ndugu jamaa na marafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babe, embu sajili hiyo namba bana. Nita FaceTime na nani sasa ikifungiwa?😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuanzia tar 20 msiponiona mjue nida kaniteka
All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ukweli basi
#hujui_Inauma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachwa ni shughuli pevu
#weAreHereForYou
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#nidainatakakunitenganishanabae
#shuainizaoNIDA
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Heh bro, hadi nywila wanataka kusepa nazo [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] bro acha tu siku si nyingi ntanyang'anywa nywila
Mwambie dady watanzania tunateseka kwa kukosa namba ya NIDA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakishua usinibadilishie gia,wa kibalozi wewe kama wema tu
😂😂 kwani huijui ile ID yangu ya zamani zile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntajie post number basi maana kule kuna id mpya tupu
All the good stuff happens outside our comfort zone.
We sema tu huna namba ya NIDA tutaelewa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23] bro acha tu siku si nyingi ntanyang'anywa nywila