moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Safiii
Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa na majini eti? [emoji23][emoji23][emoji23] Hii dhana kujiona...www.jamiiforums.com
ππ
Mbona umefurahi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] th banaNumby ameona mtoko wao wa Vacation, halafu hasemi kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nafurahi kuona kicheko chakoNapenda kujiunga nanyi ma GT wa JF
Nawasalimu. Natumaini nami kuwa mmoja wenu katika kuendeleza JF. Nimekuwa msomaji wa mda mrefu sasa, sina budi kujiunga nanyi kwa karibu zaidi. Mimi ni KE kwa wale watakao ulizia KE au ME. ASANTENI! Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Ayyanna hata hizi comment za uzi wako zimenifurahisha ππ
Mmmh! ππNafurahi kuona kicheko chako