Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watoto wasome, tena wasome sana lakini kama ana kipaji cha aina nyingine ni vema apewe uhuru aonyeshe kipaji chake.
Maana si wote watakuwa madaktari, wahandisi, wanadplomasia nk.
Wengine wataishia kusakata soka
Jirani, acha tu watoto wasome Sayansi waje wagundue tiba ya magonjwa sugu yakiwemo Tezi Dume na Saratani zinginezo bana. [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…