myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi ya chai....
Mh!...Almost everything is carcinogenic. Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1331495
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo man city uwanjanHivi na Leo kuna kupute? Nauliza tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii kama salah[emoji23][emoji23][emoji23]
Si bora mtanzania mwenzako naye ajipigie asafishe nyota[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunanunua tuUnaweza kutimua wachezaji wote na kocha wao, lakini je mnaweza kuvumilia miaka miwili au mitatu kujenga timu mpya?
Tunanunua tu
Hivi mashabiki wa United mnapataje ujasiri wa kubishana humu? 😂😂😂Tunanunua tu
Wakishua mna tabu, kwahiyo Buguruni pale kota za bati umeshahama sasa hivi upo Buza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mtuache watu wa buza jamani
Ila vingunguti pachafu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiHivi mashabiki wa United mnapataje ujasiri wa kubishana humu? 😂😂😂
SawasawaAlinunua Moyes, Van Gaal, Morinho wote hawakusaidia.
Mnatakiwa mnunue na mzalishe vipaji pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam dada.
Tuna makombe mawili msimu huu Europa na FAManchester utd haki ya Nani mpira umewageuka vibaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiletee Mambo ya miaka hiyo.Tuna makombe mawili msimu huu Europa na FA