Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini mambo yamebadilika Santiago Bernabeu msimu huu Zinedine Zidane ametumia kombinesheni 11 tofauti akitafuta utatu wa kuongoza mauaji katika michuano ya La Liga, Kombe la Mfalme na Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Watatu hawa wamecheza pamoja kwenye mechi tano na kufunga mabao 15, wakati timu yao ikishinda mechi nne na kutoka sare moja na katika mechi hizo ni mechi moja tu ndiyo walishindwa kuzifumania nyavu ilikuwa dhidi ya Real Betis, majeraha ya Hazard ndiyo yalivunja utatu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…