Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maana maazimisho yake huwa ni feb 6,nafikilia wameona iwe tarehe 1 feb kwan sio mbal na feb 6,itakuwa ni wiki ya maazimisho
hilo jaribio lao sidhani kama litaleta athari yoyote ya kiutendaji kwa wale matajiri kwa sababu si mara ya kwanza kwa mashabiki kuanzisha kampeni kama hiyo.

hivi karibuni walianzisha kampeni ya ku unfollow page ya twitter ya man utd
 
Aisee,hii familia ya Glazer na huyu Ed Woodward wanazingua sana,na hawa ndio tatzo kuu

Yule Peter Kenyon atakumbukwa sana,alikuwa mastermind mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…