Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
mm sitawaelewa wasipo chukua na ninaiuwakika this season watakuwa namba 1 seed, The Bay tupo hoi hatujiwezi sioni opponent wakushindana naye this season.Indeed bro!!tuombe iwe hvyo,iwe kumbukumbu nzuri
Perfect Colour😘😘😘
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niwache nilale mie[emoji1751]
Sent using Jamii Forums mobile app
lunch saa 7 hii
Huyu ni wewe?Nimekusaidia.
Ila mda wa kukaa na kuzisuka sasa mtihani. View attachment 1336379
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Au nikuletee hapo kwa bed?Ahsante sana ningekuwa karibu ningekuja.
Kinachonifanya niwe macho mda huu ni njaa.
Eti nimejifanya mzungu kula saa 12 jioni.
Wee nimeamka mda huu njaa kama yote, na chakula nilishatia kwa friza, kuamka na kudefrost naona uvivu, jioni nilitaka kupika cake nikaona uvivu pia,saa 2 usiku nikataka kutoka mahala tukapige msosi nikaona uvivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uvivu please leave me.
Hapa kitu pekee naona chakula ni passion fruit lakini haitosaidia pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisikia dunia sio fair usifikiri ni utani. Hapa nilipo sasa ndio saa 12 jioni na jua linawaka kinoma.lunch saa 7 hii
@military_Genius