Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Conscious mind

Ni sehemu ya akili inayo husika na mambo ya kawaida ya mwanadamu ambayo ana yafanya kila siku kama kuongea,kula,Kulala, kutembea, Siku Hizi kutumia Simu, kuangalia TV , kusoma, Kupika, kukikimbia na Mambo mengine ambayo mtu Una fanya huku ukiwa na uelewa kuwa Una yafanya pia Hii sehemu ndio yenye kubeba utashi wa mtu.
 
Subconscious mind

Ni akili ya mwanadamu ambayo kwa Asilimia kubwa ina kusaidia kufanya mambo hata kama wewe mwenyewe haufahamu kama ana yafanya na wakati mwingine haya mambo yana Geuka kuwa ya lazima kwako bila mwenyewe kujua, hapa Kuna makundi mawili au matatu.
 
Kuna mambo ambayo ni lazima na mwili haufundishwi kuyafanya ina tokea tu Una yafanya tuna weza kusema ni matendo yasiyo ya hiari ingawa yana kinyume chake, kwa mfano kama kupumua, kuyeyusha chakula tumboni, mapigo ya Moyo n.k
 
Kundi la Pili hapa lazima kuwe Na Sababu Fulani ingawa ina wezekana wakati mwingine akili yako hisi kuambie moja kwa moja sababu tabia kama kumchukia mtu ina wezekana uka fahamu kwamba namchukia mtu fulani kwa sababu fulani au husi fahamu lakini kwa bahati mbaya utajikuta Una Mchukia tu,
 
Ndo ile utakuta mtu Ana mtukana tu mtu wewe mwenyewe unaweza husione sababu na mtu anaye kushuhudia ukitukana hasi fahamu sababu lakini akili yako ina fahamu sababu, mfano Mzuri kwenye mitandao ya Kijamii mtu ana tukana tu roho yake ina ridhika,
 
Nikupe Mfano Mmoja Utakuta mtu Ana kuambia kuanza leo mm sikupendi ina wezekana hapo ame fahamu sababu za kuto Mpenda lakini wakati mwingine Una shangaa ghafla Kuna kitu Una kichukia wakati ulikua Una kipenda sana lakini ukiulizwa sababu haufahamu hapo akili yako ime kuficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…