Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeye ni maarufu kuliko hao watu wengine.
Yeye ni rais wa maisha, nchi yake inamiliki nyuklia, yeye ingawa ni kijana mdogo, lakini anabishana na rais mzee, anayeongoza nchi kubwa Donald Trump wa Marekani, yeye na nchi yake anaogopwa na mataifa makubwa ambayo ni jirani zake.
China, Japan, Korea kusini.
Umaarufu kama huo ni lazima ukupaishe
Mbona watu wengi wananyoa viduku.
Kwanini wakambatiza huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh sawa.
Basi Mimi hata Jina lake halisi silijui,najua tu hilo la kiduku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…