myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii
Usiku wa kupeana raha. Usingizi huo hapo
Safiii
Mkuu hayo mambo unayopost huoni yapo nje ya dhumuni la uzi?vugu vugu hili lilikuwa ni kubwa sana kuliko muunganiko wa CUF na CCM
kibaya zaidi liliteka vijana wa tabaka zote
NGUVU YA DINI NA TAATHIRA ZAKE
TBM
View attachment 1337476
kivipi...Mkuu hayo mambo unayopost huoni yapo nje ya dhumuni la uzi?