Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
pata like yako mkuuJF waweke na kitufe cha "dislike"
nimekashifu imani ya mtu?Mkuu hayo mambo unayopost huoni yapo nje ya dhumuni la uzi?
Ok. Kama unaona iko sawa tuendelee na likes!!🤗🤗nimekashifu imani ya mtu?
hapana hapana sijawahi kufanya tendo hilo tokea nijiunge JF.
vugu vugu hili lilikuwa ni kubwa sana kuliko muunganiko wa CUF na CCM
kibaya zaidi liliteka vijana wa tabaka zote
NGUVU YA DINI NA TAATHIRA ZAKE
TBM
View attachment 1337476
Namba 9 hapo imetuliaList ya Wasukuma waliozamia MAREKANI na majina yao ya asili.
1.RICK ROSS (Mabula Kinasa Lung'wecha)
2.KANYE WEST (Shija Bundara Madilisha)
3.Chris Brown (Kanoni Masebu Lugwisha)
4.Young jeez (Daniel magula Kapagala)
5.Jay Z (Nyanda Itulabusiga)
6.Nelly (Lameck Shadeda Ngofilo)
7.5OCENT (Kipeja Mang'ondi)
8.R.KELLY (Budodi Lupagage)
9.RIHANNA (Ng'washi Bujingwa Bulawandama)
1O.SNOOP DOGG (Samson Macheyeki Nteng'walushu)
Team TRM mtuwache. Esther umeelewa jina lolote hapo?
Mkuu hayo mambo unayopost huoni yapo nje ya dhumuni la uzi?
wewe acha tu brother.... zenji tumepitia matukio mengi sana..
mwanawe tulisoma pamoja XXXXXX japokuwa alinitangulia kwa miaka miwili....
kwa sasa ameajiriwa taasisi fulani nyetiiiiiiiii
mwanawe ni mr simpleeee
View attachment 1337477