Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahah! Siwezi acha mkeka nipite njia ya vumbi bro.....Jana nilikua najisemea Kimoyo moyo, hii game hii unawezakuta king keshakua #mzeeWaLiver 😀😀😀
Kiki ya kijingaaaaaa !!!
Mbowe kasemaje?
Wanyakyusa yaani dah! Pamoja na kusoma kote sijui wanakwama wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Aache kufuatilia na kujibizana na watu wa mtandaoni. Unafikiri hao wenzake hawachekwi na hata kutukanwa. Ni kawaida hasa kwa Wabongo sisi ndiyo kabisaa!!!