myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Stanley Walden was transferred to Njombe, Iringa in 1942. John followed his father to Njombe shortly afterwards. He was registered at Tosamaganga, Iringa in 1945. Tosamaganga was a boarding school that enrolled many of the children born to white and black parents. John’s younger brother, Paul Walden, also joined Tosamaganga. The teachers, some of whom were Sisters of a church order, took a liking to John and his brother.
vipi uliwahi kukutana naye nyakati za ujana wako?
vipi uliwahi kukutana naye nyakati za ujana wako?
huko kwenu kutumikia vita haikuwa lazima?Sikuwahi kukutana naye, lakini nimemsoma na kumsikia mara nyingi. Kwenye vita vya Kagera jina lake liliandikwa sana.
huko kwenu kutumikia vita haikuwa lazima?
nakumbuka uliwahi kusema ulimshuhudia gerrard miller akicheza soka.
kivyovyote nyakati za vita hiyo ulikuwa ni shabbabi(kijana mwenye nguvu)
pepo ya matajiri hujengwa na bahati mbaya za masikini
Bahati mbaya kivipi.
Nijuavyo matajiri wengi ni bahiri na wachoyo, ingawa pia wapo wakarimu